mofolojia ya kiswahili

MOFOLOJIA YA KISWAHILI SANIFU – KIJUE KISWAHILI. Web  mofolojia ya kiswahili sanifu Katika somo hili tutajifunza kwa kina mada ya Mofolojia ya Kiswahili ya Kiswahili sanifu kwa kungalia vipengele vifuatavyo: mawanda.

MOFOLOJIA YA KISWAHILI SANIFU – KIJUE KISWAHILI
MOFOLOJIA YA KISWAHILI SANIFU – KIJUE KISWAHILI from image.slidesharecdn.com

Mofolojia (kutoka maneno ya Kigiriki morphe, umbo, na logos, neno) au sarufi maumbo ni tawi la isimu ambalo huchunguza maneno ya lugha fulani na aina zake za maneno, hasa upande wa upangaji wa mofimu mbalimbali zitumikazo kwa ajili ya kuunda maneno. Mofolojia ni taaluma ya isimu ambayo inachunguza maumbo ya maneno ama maneno kamili yanayobeba maana.

0 komentar